Amana Hospital Ipo Kata Gani

Amana hospital ipo kata gani

Miaka ya 1980 Mkoa wa Dar es salaam ulikuwa na Wilaya tatu na kila moja ilikuwa na Hospitali yake ya Wilaya; Temeke (Temeke), Ilala (Amana) na Kinondoni (Mwananyamala). Baada ya idadi ya watu kuongezeka ilijengwa Hospitali yenye hadhi ya Wilaya maeneo ya Vijibweni ili kuweza kuwasaidia wananchi wa Kigamboni, Kibada, Tuangoma, Kimbiji hadi Puna.

Baada ya kuanzishwa Wilaya mpya za Kigamboni na Ubungo, iliamuriwa kuwa Hospitali ya Vijibweni ndiyo itakuwa Hospitali ya Wilaya ya Kigamboni na ile ya Sinza kuwa ndiyo ya Wilaya ya Ubungo.

Sasa hivi kuna ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Kigamboni katika lililokuwa shamba la Manji eneo la Gezaulole.Huko nyuma shamba hilo lilikuwa ni mali ya NAFCO.

Amana hospital ipo kata gani

Manji alinunua toka Serikalini yalipokuwa yakiuzwa, hakuliendeleza. Upande wa pili wa inapojengwa sasa hospitali hiyo, ndiko Manji alitaka ujengwe uwanja wa Club ya Yanga.

Le figaro investissements a risque forex diamants epargne salariale

Wanasema wenyeji, "Serikali imetaifisha mashamba hayo yote". Ni katika mashamba hayo kwasasa kunajengwa Ofisi za Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kigamboni.

View attachment 1041833

Ukifika katika eneo inakojengwa Hospitali utaona mambo ya kusikitisha.

Amana hospital ipo kata gani

Kwanza hakuna kibao chenye kuonyesha kinachojengwa ni nini, Mjenzi ni nani na Kibali chake cha ujenzi (building permit) namba gani. Lakini ujenzi unaendelea.

Amana hospital ipo kata gani

Misingi ya majengo manne yaliyo hapa na pale inaendele kujengwa.

Majengo yanayojengwa katika eneo ambalo ni zuri sana kwa kila namna, ni majengo ya chini si ghorofa (Hivi katika zama hizi tena Dar es salaam, kuna haja gani ya kukimbilia kujenga jengo la chini la hospitali katika eneo muhimu ukitaraji liwasaidie watanzania hadi miaka 50 ijayo?

Kuna udharura gani wakati Hospitali ya Vijibweni ipo na Zahanati zipo kila Kata? Udharura huu..ndiyo unawafanya wataalamu wa ujenzi kupata harufu mbaya katika mradi huu)

View attachment 1041836

Kinachoshitua, ni taarifa wanazoeleza wenyeji ambao wengine ni wajenzi na foremen.

CHARITY OUTREACH AT AMANA HOSPITAL BY TAFES ARU

Namna "Mkandarasi" alivyopata tender, fedha mradi mzima, uwezo wake "Mkandarasi", wahusika wa ofisi ya Mkurugenzi wanaofika eneo la mradi na kisha kwenda Bamba Beach na grocery za njia panda ya Islamic Club "kula raha/bata".

View attachment 1041838

Linalotegemewa kuwa jengo la Huduma za Waonjwa wa Nje (OPD) ni dogo kuliko la Hospitali ya Mnazi Mmoja iliyojengwa miaka ya 1960's.

Click to expand...

Lyft stock ipo date